Mwalimu Mandurah afanyiwa
utafiti na ofisi ya elimu baada ya picha tata zake za uchi kusambazwa.
Mwalimu wa chuo cha John Tonkin
aliwapatia wananfunzi kifaa cha USB pen-drive kwa matumizi yao lakini
aliwatahadharisha wanafunzi wasibofye picha zilizomo.
Mwanafunzi aligundua baada ya
kuangalia picha hizo na kujadiliana na wenzake, ambao waliendelea kusambaziana na
hatimaye kufikia mitandao ya kijamii.
Picha zilinonyesha, mwelekezaji
alijionyesha kwa mpenzi wake.
Hatimaye picha zilifikia idara ya
elimu.
Chuo kiliwahoji wanafunzi
waliojihusisha kwa kutumia kamati ya ndani ili kufanya uchunguzi.
Mwakilishi wa idara alisema kuwa
mwalimu alifukuzwa.
0 comments:
Post a Comment