HIZI NDIO SABABU ZA WANAUME KUPENDA WASICHANA WADOGO
Katika hali ya kawaida na iliozoeleka katika jamii ni hili swala la wanaume kupendelea kuoa au kuwa na wachumba wenye umri mdongo,
wanawake uwezo wao wakufikiri ni mkubwa kwa uhalisia, lakini wana tabia ya kujidharau sana,
katika mahojiano niliyoyafanya na watu wanasema mwanamke aliyezaliwa 1992, na mwanaume aliyezaliwa 1992, kwa hapa mwanamke atakuwa na fikra pana kuliko mwanaume, kwa hiyo mwenye uwezo wa kumuoa huyu mwanamke anatakiwa awe amezaliwa 1989 kushuka chini.

Sababu
nyingine ni kwamba wanaume wanaamini mabinti wadogo maumbile yao ya
ukeni yanabana na huweza kuapatia raha zaidi katika tendo la ndoa.
Jambo la mwisho na la msingi, Wanaume wanapenda wawe wasimamizi wakuu na
watawala katika uhusiano ndio sababu ya wanaume wengi kupendelea
mabinti wadogo.
0 comments:
Post a Comment