Shabiki kidogo akubake jukwaani? (Utani) Kanogewaa mpaka ukajaribu kujinasua!! Hongera kwa show nzuri Dodoma hadi @bdozen kakiri hiyo ilikua bonge la show kuliko zote aliwahi kufanya...tunatarajia zaidi, achia hiyo SOPHIA video basi.
Blog inayokusaidia kujua mambo mengi duniani usiyoyajua na unayoyajua kwa undani zaidi. "KARIBU"
0 comments:
Post a Comment