Zaidi ya warembo 100 walijitokeza Jumamosi iliyopita katika bichi iliyoko Afrika Kusini ya uchi, Bichi hiyo ni ya kwanza kuzinduliwa Barani Afrika, ingawaje wanaharakati kutoka kwa wananchi kuipigia kelele isianzishwe.
Bichi hiyo inayojulikana na kama Mpenjati Bichi ina urefu wa mita 500 ipo ufukweni wa bahari ya Hindi, iliidhinishwa mwaka mmoja uliopita.
Bichi hiyo inayojulikana na kama Mpenjati Bichi ina urefu wa mita 500 ipo ufukweni wa bahari ya Hindi, iliidhinishwa mwaka mmoja uliopita.
0 comments:
Post a Comment