Kwa mujibu wa Daily Star UK- mashoga wawili waliofahamika baadae
kwa majina ya ukoo Zhou na Liang, walikutwa wamelalana na suruali zao wameshusha
chini.
Wananchi wa Chongqing magharibi mwa China, waliokuwa wapita njia walishangazwa
na kushikwa aibu na hawakuamini kwa
kitendo kilichokuwa kikiendelea.
Kutokana na kitendo hicho kwenye njia maarufu, majirani walisaidia
kuwakamata. Kwa mujibu wa Chongqing Public Security Bureau wanachukuliwa hatua kwa matendo yao.
Watu walitoa maoni “was a
direct result them not being able to control their steps”. Mapenzi ya jinsia
moja yalizuiwa mwaka 1997 na utawala wa China. Hata hivyo inachukuliwa kama
mwiko kwa china kufanya mapenzi ya jinsia moja.
0 comments:
Post a Comment