Vazi "chepechepe" la bibi harusi, latamba wiki ya fasheni Bridal
Vazi liliobuniwa na kuonyeshwa kwa washiriki wa The Big Apple Wedding Trend kwa siku 7 saba bado lawashika mashabiki.
Vazi liliobuniwa na kuonyeshwa kwa washiriki wa The Big Apple Wedding Trend kwa siku 7 saba bado lawashika mashabiki.
Vazi linalonyesha baadhi ya sehemu za mwili wazi kwenye shingo, mapaja, tumbo na hipsi.
Mbunifu Terry Hallway alisema “The old customs have already been shattered. Women are requesting hot, and so the developers are making it for these people,” akaongeza
“More than 1 / 2 of the brides who enter in to Kleinfeld every day wind up leaving behind with optical illusion (see-by way of material) on the dress in some potential, no matter if it’s a little bit inside the back again or throughout the midriff or on the part.”
0 comments:
Post a Comment