Aunt Ezekiel
STORI: IMELDA MTEMA
MIZINGUO! Mastaa wawili wa Bongo
Movies, Aunt Ezekiel Grayson na Wema Isaac Sepetu, wanadaiwa kuwazingua
mashabiki wao kwa tabia yao ya kugombana na upatana kila kukicha.
Wema Isaac
Mashabiki wa mastaa hao wanaonekana
kukasirishwa na hali hiyo baada ya hivi karibuni kutibuana na haukupita
muda mrefu wakatupia picha wakiwa amekumbatiana hivyo mashabiki wao
kuamini kuwa huenda wanatafuta ‘kiki’ ili wasikauke kwenye vinywa vya
watu.
0 comments:
Post a Comment