Wapenzi wenye ndoto za kuwa wazazi
wameuamua kufanya sajari ya kupunguza uzito kwa sababu ni wanene sana
kujamiiana. Wapenzi wa mapenzi ya kindege waliooana tangu mwaka 2010 wanauzito
kwa ujumla 63s.
Lin Yuen na mke wake Deng Yang
walithibitisha kuwa maisha yao ya ndoa yamekuwa magumu tangu walipoanza,
wamesema hawakuweza kufanikiwa kupata nguo ya harusi kwa bibi harusi zaidi ya
kutengenezewa.
Wawili hao wanaofanya kazi
kusini-magharibu mwa uchina Jimbo la Sichuan wiki hii walisafiri kwenda Changchun
kaskazini mashariki jimbo la Jilin ili kupata dawa ya kupunguza unene haraka
Wanataraji sajari ya tumbo ambayo
itawawezesha kupambana na vitambi hatari, ambayo wameamua kushughulikia tatizo
hilo ili siku moja wawe na mtoto.
Deng alisema ndoto ya kuwa wazazi
pekee iliwafanya kupunguza uzito, lakini kwa pamoja walihamasishana kuchukua hatua pamoja wakati mwanamke ndiye mtu mnene kuliko wote China.
0 comments:
Post a Comment