Mkali Championi ligi, ligi ya uingereza na Hispania mwenye
magoli zaid ya 300: Real Madrid, hakuna mwingine zaidi ya Cristiano Ronaldo. Hapa upo na Cristiano Junior
ambaye ana miaka 5, cheki mbavu.
Mreno wa kimataifa alipost picha Instagram ya pamoja, wakiwa
vifua wazi wakiangalia kamera wakijifundisha pamoja. Kijana ni mtanashati.
0 comments:
Post a Comment