Bomu jipya kutoka kwa mama T, amuonya mrembo wema sepetu aache kuulizia
DNA ya mtoto wake badala yake akapime ultra sound ya mtoto ambao anadai
amembeba tumboni mwake, mrs T aliendelea kutiririka na kumtaka wema
sepetu akashindane na level zake sio yeye
0 comments:
Post a Comment