Wakati wengi wakiona ni mbinu ya kioja,
baadhi ya walimu wamekuja na mbinu mpya ya kufudisha kusaidia watu kujua lugha
nyingi.
Mpango ni kwa walimu wanaojiamini
kufundisha kiingereza wakati wakionekana uchi kama vile video za X. Promo ya
kozi inaonyesha mfano wa mwanamke (mwalimu) akiwa uchi mbele ya darasa
ameshikilia rula wakati wanafunzi wakiwa wamekaa kwenye madeski.
Chaneli ya uchi ya habari Desnudando
Las Noticias (Stripping the News) iliyoko Venezuela, imeanzisha lugha ya uchi,
na kwa mujibu wa Tovuti yao, DNL inategemea kupata mauzo ya aina yake kwa
mafanikio. Wanaaarifu kuwa walimu kuwa uchi wa mnyama watasaidia kutoa kozi
kuzidi washindani wao.
0 comments:
Post a Comment