Choi! Picha ya mwanamke aliyesinzia imekuwa ikifanyiwa
photoshop katika mambo mengi kuanzia muvi hadi michezo, baada ya kupigwa picha
akihitaji kulala kidogo katika eneo (jumba) la maduka. Watu bado wanatiririka
kuediti picha ya mwanamama huyo.
Jionee nini walifanya kwa mwanamke aliyesinzia kwenye jumba la biashara
Previous PostOlder Post
Home
0 comments:
Post a Comment