Choi! Picha ya mwanamke aliyesinzia imekuwa ikifanyiwa photoshop katika mambo mengi kuanzia muvi hadi michezo, baada ya kupigwa picha akihitaji kulala kidogo katika eneo (jumba) la maduka. Watu bado wanatiririka kuediti picha ya mwanamama huyo.

A controversial new coffee shop had its grand opening on Saturday in Phoenix. Bikini Beans Espresso is a drive-thru business located near 7th and Oak Street and guess what, it is right next to a church!

The coffee shop is filled with women serving up coffee beverages while in bikinis. The owners, Ben and Regina Lyles say in their hometown of Seattle, similar concept businesses are “on every corner.”


Critics have said the business degrades women, but Regina says she feels quite the opposite way.

She said, “These girls are working here by choice. If anything, I think it’s empowering to women to feel confident enough to put on a bikini and go to work.”

The couple currently has 13 employees and hopes to expand their business in the future.

 




Winfrida Josephat ‘Recho’. 

Msala! Mtoto mzuri mwenye sauti tamu kutoka Jumba la Vipaji Tanzania (THT), Winfrida Josephat ‘Recho’ anadiwa kushikiliwa na Polisi wa Jiji la Dubai, Falme za Kiarabu (UAE) kwa kosa la kuzidisha muda wa kibali cha kuishi ugenini (overstay), Risasi Jumamosi lina mchapo kamili. 

TUJIUNGE NA CHANZO 

Kwa mujibu wa chanzo makini, Recho alitoroshwa na mwanaume mwezi mmoja uliopita na kwenda kula naye bata nchini humo huku akimuahidi ahadi motomoto katika penzi lao lakini alipofika, akamtelekeza. “Alidanganywa na mwanaume, akakubali kuja naye Dubai si unajua tena mambo ya kuendekeza starehe mastaa wetu, akaja huku na alipofika jamaa akaishi naye kidogo akaingia mitini,” kilieleza chanzo chetu kilichopo Dubai na kuongeza: 

HAKUMUAGA RUGE 
“Kutokana na kukolea kimahaba, aliniambia hakuona hata umuhimu wa kumuaga bosi wake Ruge (Mutahaba) kitu ambacho kila mtu alimlaumu
kwani wakati huo nasikia alikuwa na project kibao za kumkuza kimuziki.” 


MWANAUME AREJEA 
Chanzo hicho kilizidi kumwaga ubuyu kuwa, baadaye huyo mwanaume alimtelekeza katika nyumba waliyokuwa wakiishi pamoja, alirejea na kuanza kuishi naye tena hadi pale kibali kilipoisha na jamaa akatoweka tena wakati tayari mrembo huyo akiwa amezidisha muda wa kuishi nchini humo. Chanzo hicho kilieleza kuwa, maafande wa nchi hiyo walipombaini anaishi bila kuwa na vibali, walimkamta na kumfikisha kituo cha polisi kwa ajili ya mahojiano kisha wakamshikilia hadi atakapopata fedha za kulipia vibali. “Mambo huku yamemwendea vibaya, watu wameshindwa kumsaidia. Amewasiliana na ndugu,
jamaa na marafiki zake Bongo lakini imeshindikana kupata hizo fedha. 

AMSAKA RUGE 
“Sasa ameanza kufanya mpango wa kumtafuta Ruge ili aweze kumuokoa, maana mazingira yamemkalia vibaya kwani hana fedha hata ya nauli ya kumrejesha Tanzania na jamaa aliyemleta naye ameendelea kumpiga chenga.

RUGE AWATOLEA NJE 
“Lakini mbaya zaidi nasikia Ruge kawatolea nje maana wakati Recho anakuja huku kumbe alitoroka hakumuaga wala uongozi wowote wa THT, alichokosea hakumuaga bosi wake huyo na tayari alikuwa ameelekezwa mambo kibao na Ruge ili aachie nyimbo mpya lakini akakaidi na kuja huku,” kilisema chanzo hicho.
RUGE HUYU HAPA 

Gazeti hili baada ya kupenyezewa mchongo huo, lilimtafuta Ruge ili kujua kama ni kweli taarifa hizo zimemfikia na kama anazo amefanya nini ili kumsaidia mrembo huyo ambaye alikuwa tishio kwa nyimbo kali ikiwemo Kizunguzungu. Ruge alikiri kuwa taarifa za mrembo huyo zimemfikia lakini bado hajafikiria cha kufanya hadi sasa. 

“Nimesikia kweli anashikiliwa kutokana na mambo yake binafsi, nashindwa sana kujihusisha nayo moja kwa moja kwani hakuna jambo lolote ambalo amewahi kunihusisha kabla hajaenda huko na hata alipokuwa huku. “Bado sijaona namna ya kumsaidia maana hawa watoto nao wamekuwa jeuri mno. Wakishajiona wamekuwa mastaa tu, hata ushauri wa maana hawapokei kabisa inanisikitisha sana,” alisema Ruge.
KUMBUKUMBU 
Recho kabla ya kuondoka Bongo, alikuwa tishio kwa sauti na uchezaji wake ulioshabihiana na miondoko aliyokuwa nayo mkongwe wa Bongo Fleva, Rehema Chalamila ‘Ray C’. Mrembo huyo pia aliwahi kutajwa kwenye kashfa ya kutumia madawa ya kulevya lakini hakutoa majibu ya kueleweka.



They say this is the hottest video vixen in the world right now…Her name is Miracle Watts, a popular Atlanta video vixen.

They sexy lady became more popular after dating R&B singer August Alsina last year. People says she’s currently the hottest video vixen in the world. photos below;








Wakati wengi wakiona ni mbinu ya kioja, baadhi ya walimu wamekuja na mbinu mpya ya kufudisha kusaidia watu kujua lugha nyingi.

Mpango ni kwa walimu wanaojiamini kufundisha kiingereza wakati wakionekana uchi kama vile video za X. Promo ya kozi inaonyesha mfano wa mwanamke (mwalimu) akiwa uchi mbele ya darasa ameshikilia rula wakati wanafunzi wakiwa wamekaa kwenye madeski.
 

Chaneli ya uchi ya habari Desnudando Las Noticias (Stripping the News) iliyoko Venezuela, imeanzisha lugha ya uchi, na kwa mujibu wa Tovuti yao, DNL inategemea kupata mauzo ya aina yake kwa mafanikio. Wanaaarifu kuwa walimu kuwa uchi wa mnyama watasaidia kutoa kozi kuzidi washindani wao.




Kamanda wa Polisi Mkoa wa Katavi, Dhahri Kidavashari.

Mkazi wa kijiji cha Kalovya – Inyonga wilayani Mlele, Ramadhani Ally (20) amefariki dunia akipatiwa matibabu hospitalini baada kupigwa na kijana mwenzake.

Akizungumzia tukio hilo, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Katavi, Dhahri Kidavashari amesema kuwa Ramadhani alifikwa na umauti baada ya kujeruhiwa na kijana mwenzake Ntema Kabembenya( 26), mkazi wa kijiji cha Ipwaga.

Kidavashari amesema tukio hilo lilitokea Januari 22, mwaka huu saa 12:55 jioni ambapo Ntema alimkuta Ramadhani (marehemu) akimtongoza dada yake (Ntemwa) mwenye umri wa miaka 12 (jina limehifadhiwa).

“Ntemwa alikasirishwa na kitendo cha Ramadhani kumtongoza dada yake mwenye umri wa miaka 12, alimshambulia Ramadhani kwa kumpiga na fimbo na kumjeruhi vibaya,” alieleza Kamanda Kidavashari.

Inadaiwa Ramadhani alikimbizwa katika Hospitali ya wilaya ya Mlele kwa matibabu lakini alifariki dunia siku iliyofuata akiwa anatibiwa.

Kwa mujibu wa Kidavashari, mtuhumiwa anashikiliwa na Jeshi la Polisi ambapo anatarajiwa kufikishwa mahakamani kujibu tuhuma inayomkabili.






Kununua kitu kupitia mtandao siyo wa kuamini sana!! 


Staa wa Bongo, Jokate Urban Mwegelo ‘Kidoti’.



MUSA MATEJA, Risasi Jumamosi
Dar es Salaam: Hii ni habari ya kipekee (Exclusive Story)! Mastaa wawili wenye majina makubwa Bongo ambao walikuwa wachumba walioshibana, Jokate Urban Mwegelo ‘Kidoti’ na Ali Saleh Kiba ‘King Kiba’ wanadaiwa kumwagana, Risasi Jumamosi ndilo gazeti pekee linaloweza kuthubutu kukupa mchapo kamili.



Mastaa wawili wenye majina makubwa Bongo ambao walikuwa wachumba walioshibana, Jokate Urban Mwegelo ‘Kidoti’ na Ali Saleh Kiba ‘King Kiba’ wakiwa katika pozi.

Habari ya mjini kwa sasa ni juu ya wawili hao ambao walikuwa gumzo kwa watoto wa mjini, kwa kila mmoja kuchukua hamsini zake na kufanya yake tofauti na walivyokuwa awali huku chanzo cha kutengena kwao kikitajwa kuwa ni wazazi wa sehemu zote mbili kutoridhiana.



Ali Saleh Kiba ‘King Kiba’.

TUJIUNGE NA CHANZO
Kwa mujibu wa chanzo makini ambacho ni mtu wa karibu wa wawili hao, mbali na ishu ya wazazi, hivi karibuni Jokate na Kiba waliingia kwenye gogoro kubwa la kimapenzi baada ya kufumaniana kwenye simu, jambo ambalo limeendelea kutokea huku jamaa akiongoza kukutwa na meseji kwenye simu yake za mwanamke mmoja anayedaiwa kuishi nje ya Tanzania.

BOFYA HAPA KUSIKIA CHANZO
“Ukisema nikusimulie juu ya kumwagana kwa Jokate na Kiba basi tunaweza kukesha ila mbali na mambo ya wazazi, kwa kifupi tu ni kwamba, hawa watu wameingia kwenye mgogoro na kilichokuwa kikiwagombanisha mara nyingi ni uhusiano wao wa zamani.”

KIBA ANA DEMU?
“Mara kadhaa Jojo (Jokate) amekuwa akimlalamikia jamaa (Kiba) kuwa ana demu nje ya nchi ambaye amekuwa akimtundika katika mitandao ya jamii na kujinadi kuwa ndiye mkewe tofauti na wengi wanavyojua kuwa Jokate ndiye mtu wake.

“Mbali na hilo, sasa kuna suala la familia zao kuonesha hali ya kutokubaliana na wao kuoana hasa upande wa Jokate ambao ulionesha msimamo mkubwa kutomtaka hata kidogo Kiba, mambo hayo yamekuwa ni chagizo kubwa katika kuhatarisha mapenzi yao hivyo kufikia hatua hata ya wao kutoendelea kupendana kwa dhati kama ilivyokuwa mwanzo wa penzi lao.”

VIKAO VYAGONGA MWAMBA
“Tofauti na watu walivyozoea kuwaona pamoja, kwa sasa wametibuana na hapa tunapozungumza tayari kuna vikao kibao huko nyuma vilishakaa ili kunusuru penzi lao lakini imeshindikana maana kila mmoja sasa hivi anajifanyia mambo yake na hakuna dalili za kurudiana.

“Kiba anaonekana ameshajiingiza kwenye penzi la demu wake wa zamani huku Jokate naye akiwa ‘in love’ na mtu wake mwingine.”

MPANGO WA KUZAA WAYEYUKA
“Kitambo tu nimekuwa nikiwaambia kwa staili waliyokuwa nayo hakika wasingeoana hata kama ukiweka pembeni suala la dini zao kutoendana, maana kuna siku niliwasikia wakiambiana hata kama wazazi wakigoma wao wangefanya kila juhudi hata wazae pamoja tu.

“Lakini ukweli ni kwamba ilishindikana baada ya kuanza kugombana mara kwa mara, pamoja na kwamba Jokate alikuwa akikubalika kwa asilimia zote kwa mama Kiba na hata ndugu wengi wa Kiba walionekana kumpenda waziwazi,” kilisema chanzo hicho.

KIBA AFUNGUKA
Baada ya kupenyezewa mchongo huo, gazeti hili liliingia mzigoni kumtafuta Kiba ili atoe la moyoni juu ya madai hayo ya kumwagana na Jokate ambapo alipopatikana alisema kuwa haoni sababu ya kuzungumzia ishu hiyo kwani ni mambo binafsi.

“Kusema kweli ishu hii mimi sina uwezo wa kuiongelea zaidi kwa sasa kwani ni mambo binafsi sana na sioni faida ya kuzungumzia vitu ambavyo havina maana.
“Kwanza sioni nini cha kuongelea hapa kwani kila jambo lina mipaka yake,” alisema Kiba akikataa kuulizwa zaidi juu ya suala hilo.

JOKATE VIPI?
Kwa upande wa Jokate alipotafutwa kwa siku kadhaa ili azungumzie sakata hilo kwa ufasaha hakupokea simu ya mwandishi wetu hadi gazeti linaingia mitamboni.



PENZI LA JOKATE NA KIBA
Awali zilipovuja habari za penzi la Jokate na Kiba wote walikanusha, kadiri siku zilivyosonga ndivyo walivyozidi kuwa gumzo kwa mashabiki wao waliofurahishwa na ‘kapo’ yao huku wakionekana kwenye viwanja mbalimbali vya starehe wakiwa kimahaba lakini sasa mambo yanaonekana kwenda mrama. globalpublisher

Kweli dada umetokelezea lakini je umevaa fasheni gani??


Picha hii iliwekwa mtandaoni na haikuwa na mashiko sana kwa watu kuifuatilia. Lakini baada ya wachache kuijadili imeshika kasi sana wiki hii kusambaa. Picha ni ya mwanamke aliyekalia kitako cha pikipiki akijiweka katika hali ndogo ya usalama kisa ni kutaka "kuua ndege wawili kwa jiwe moja". 

Na hakufikiria kuwa akiwa katika mwendo pikipiki inaweza kumsababisha akadondoka na kujijeruhi au kupoteza maisha kabisa. 


Previous PostOlder Posts Home