Wanafunzi wasambaziana picha za uchi za mwalimu kwenye mitandao ya kijamii

Mwalimu Mandurah afanyiwa utafiti na ofisi ya elimu baada ya picha tata zake za uchi kusambazwa.

Mwalimu wa chuo cha John Tonkin aliwapatia wananfunzi kifaa cha USB pen-drive kwa matumizi yao lakini aliwatahadharisha wanafunzi wasibofye picha zilizomo.

Mwanafunzi aligundua baada ya kuangalia picha hizo na kujadiliana na wenzake, ambao waliendelea kusambaziana na hatimaye kufikia mitandao ya kijamii.

Picha zilinonyesha, mwelekezaji alijionyesha kwa mpenzi wake.
 
Hatimaye picha zilifikia idara ya elimu.
Chuo kiliwahoji wanafunzi waliojihusisha kwa kutumia kamati ya ndani ili kufanya uchunguzi.


Mwakilishi wa idara alisema kuwa mwalimu alifukuzwa.
Next PostNewer Post Previous PostOlder Post Home

0 comments:

Post a Comment