Hayden aliongoza vichwa vya habari wakati wa Okt ambapo alijulikana kuwa alikuwa akihudumiwa katika kituo cha kutibu msongo wa mawazo. Hayden amefunguka kuhusu ugumu wake tangu alipomkaribisha msichana mdogo Kaya Desemba 2014, alisema ““Girls have to know that they are one of many, and that it can do recover.”
 

Hatimaye tuligundua Hayden Desemba alipotoka auti kumsindikiza mpenzi wake, Boxer Wladimir Klitschoko, waliozuru Ujerumani. 

Siku na usiku, akiwa na Wladimiri na baadhi ya wanachama wa supertall katika familia huko Berlin. 
 
Nuh Mziwanda amedai kuwa aliyofanyiwa na Shilole ni mengi na mazito ambayo ilibidi ayafiche kwa maslahi ya penzi lao na heshima kwake 
Akiongea kwenye kipindi cha D’Weekend Chat Show cha Clouds TV Ijumaa hii mbele ya Shilole aliyekuwa amejikunyata pembeni kwa kukasirishwa na uwepo wa ex wake studioni hapo bila kutaarifiwa mwanzoni, Nuh alisema Shilole hakuwa mwanamke wa kutawaliwa. 
“Yeye anajua mambo gani alikuwa anafanya kwangu mambo ambayo yalikuwa hayastahili anifanyie. Alikuwa anafanya kwa kunichukulia poa kwamba nitafanya nini lakini at end of the day kila kitu kina mwanzo na mwisho,” alisema. 
Nuh alisema ni ngumu tena kurudisha imani kwa mpenzi wako huyo licha ya kukiri kuwa bado hajaweza kuwa tayari kuwa na mwanamke mwingine kwa sasa.


Within a clip from Checking Up On the Kardashians, Kourtney usually takes fans behind the curtain of any nude photoshoot and shows what she’s most insecure about. “I feel as if my ass like vanished once I lost excess weight,” Kourtney tells digital photographer Brian Bowen Smith. “We have to plump it up! ”

“You’ll be amazed how wonderful your bum is going to seem,” the wedding photographer shows her. “We want to make the sisters jealous.”

Small sibling Kylie Jenner can also be in the set up (fully clothed) to provide her sibling some advice and present critiques, also. Nude shoots are in the household for the Kardashians, it appears.

Marehemu Rudia Joseph enzi za uhai wake.
         
Stori: Makongoro Oging’ na Issa Mnally, UWAZI
DAR ES SALAAM: Vilio, majonzi bado vimetawala Mtaa wa Kirezange, Kata ya Kivule Wilaya ya Ilala, Dar kufuatia mauaji ya kikatili ya Rudia Joseph yanayodaiwa kufanywa na mumewe, Joseph Mahende ‘Thang’ana’ ambaye ni askari wa Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ), Kambi ya Lugalo, Dar.

Rudia aliaga dunia kutokana na majeraha makubwa yaliyosababishwa na kukatwa mapanga mwilini usiku wa kuamkia Jumatatu, wiki iliyopita.

UWAZI LACHIMBA
Baada ya mauaji hayo, Uwazi lilitinga eneo la tukio ili kuchimba kwa kina ambapo lilifanikiwa kuzungumza na majirani.




Waombolezaji wakiuaga mwili wa marehemu kwa ajili ya kusafirishwa.

Uwazi lilikuta mwili wa marehemu umepelekwa Hospitali ya Taifa Muhimbili huku mtuhumiwa akiwa Kituo cha Polisi Stakishari, Dar baada ya kujipeleka mwenyewe.

Kwa mujibu wa majirani, walisikia kelele za mwanamke huyo akiomba msaada wakati akikatwa mapanga, lakini waliogopa kuingia ndani kusaidia kwa vile walijua mwanajeshi huyo angewageuzia kibao.

SIMULIZI YA MPANGAJI
Mpangaji wa mwanajeshi huyo, Hellana Mtega aliyekuwepo siku ya tukio, katika mahojianao na Uwazi kuhusu mauaji hayo, alisema:
“Nyumba hii tupo wapangaji watatu wa kike, lakini leo tuko wawili. Tunaishi na mwanajeshi na mkewe.

Mwili wa marehemu ukiandaliwa .

“Iikuwa saa 5:30, usiku walipoanza ugomvi wa maneno. Kilichoonekana ni kwamba, mwanaume alikuwa akimshutumu mkewe kwa kitendo cha kwenda kazini kwake Lugalo na kutaka awe anapokea nusu mshahara wa mumewe akidai hahudumiwi, hivyo anakula jasho lake bure.

“Kutokana na ugomvi huo, marehemu aliamua kwenda sebuleni. Sisi hatukushangazwa mzozo wao kwani ni wa mara kwa mara, hata majirani zetu wanajua.”

MTUHUMIWA KABLA YA KUKUMBWA NA MADAI
“Jana jioni, kuna baa jirani ambapo mwanajeshi anapenda kunywa. Nasikia alikwenda akalipa madeni yote aliyokuwa akidaiwa. Aliporudi kwake, akalala, baadaye, saa 5:30 usiku ndipo ugomvi ukaanza. Basi, baada ya mke kwenda sebuleni, alimfuata akiwa na mti wa fagio na kuanza kumpiga nalo. Alifunga mlango wa nje kwa kufuli.

“Wakati huo marehemu alikuwa akipiga kelele ili asaidiwe lakini mimi na mpangaji mwenzangu tulikuwa tukichungulia tu dirishani. Kwa kweli tulishindwa kumsaidia kwani tabia ya mwanajeshi kila mmoja anaijua, ni mkali sana.”

KIPANDE CHA CHUMA
“Baadaye, mwanajeshi alichukua kipande cha chuma na kuanza kumponda nacho mkewe. Mimi niliumia sana kwa kweli, nikaamua kumfungulia mlango wa chumba changu ili aingie kisha niufunge. Lengo likiwa mumewe asiendelee kumpiga.

Jeneza likibebwa kwa ajili ya kupakizwa kwenye gari.

“Lakini mwanajeshi alinionesha panga na kunitaka niondoke haraka la sivyo angenikata. Wakati huo mkewe aliendelea kupiga mayowe, hakuna hata mtu aliyejitokeza kumsaidia.”

SAUTI YA MWANAJESHI
“Baadaye nikamsikia mwanajeshi akisema, ‘ngoja nikufungulie mlango ukafie nje.’ Marehemu baada ya mlango kufunguliwa alikimbia nje ili kujiokoa lakini kwa bahati mbaya akateleza, akaanguka. Mumewe aliendelea kumpiga kwa kile kipande cha chuma, akaishiwa nguvu, akawa anatweta.”

MWANAJESHI ALICHUKUA KITI
“Kwa kuona mkewe ameanguka, mwanajeshi alichukua kiti na kwenda kukaa karibu naye huku akimwambia maneno ambayo sikuyaelewa kwani alikuwa akizungumza kilugha. Ndipo baadaye alichukua panga na kuanza kumkatakata. Baada ya hapo hatukusikia tena kelele za mwanamke.”

MWANAJESHI APIGA DEKI
“Baada ya kuona mkewe amefariki dunia, mume alirudi ndani, akadeki ili kuondoa damu. Kisha akamwita mtoto wake wa kiume wa mke mwingine maana marehemu hakuzaa naye.

“Alimwambia mwanaye anataka kujiua kwa vile ameua, mwanaye alimkataza na kumpigia simu baba yake mkubwa (kaka wa mwanajeshi) ambaye anaishi karibu. Alifika mara moja na kumsihi mwanajeshi asijiue bali akajisalimishe kituo cha polisi.”
Jeneza lililobeba mwili wa marehemu likipakizwa kwenye gari.

MWANAJESHI APANDA BODABODA
“Alipanda bodaboda, akaenda Kituo cha Polisi Stakishari kujisalimisha. Kwa mujibu wa maelezo ya askari mmoja, alipofika alijitambulisha, akawataka polisi wamfungulie mlango wa mahabusu kwa kuwa ameua lakini walimkatalia.”

POLISI WAMPA MAELEKEZO
“Polisi walimwambia kama kweli ameua aende kwa mjumbe wake ampe barua kisha arudi nayo kituoni. Alifanya hivyo, alimfuata mjumbe wetu, akamweleza hali hiyo lakini naye akashangaa. Alimwambia kama haamini waongozane akashuhudie. Walifutana hadi hapa na kushuhudia maiti.

“Ndipo mjumbe akamwandikia barua na kumgongea mhuri, mwanajeshi akapanda tena bodaboda hadi Stakishari na kuonesha ile barua kwa polisi, ndipo walipoamini na kumfungulia mlango wa mahabusu. Polisi walifika eneo la tukio na kuuchukua mwili kuupeleka Hospitali ya Taifa Muhimbili.”

KAULI YA MJUMBE
Mjumbe wa Shina Namba 17 Kata ya Kivule, Jackson Mathayo Chacha alikiri kutokea kwa tukio hilo na kusema mwanajeshi huyo alikuwa na ugomvi wa kifamilia na marehemu na alikuwa akiwasuluhisha mara kwa mara. Pia, alikiri mwanajeshi huyo kurudi kutoka Polisi Stakishari kuhitaji barua ambapo alimpatia.



Waombelezaji wakiwa msibani.

KAMANDA WA POLISI
Kamanda wa Mkoa wa Kipolisi Ilala, SACP Lucas Mkondya alikiri kutokea kwa mauaji hayo: “Ni kweli mauaji hayo yametokea na mtuhumiwa Joseph Mahende tunamshikilia huku upelelezi ukiendelea,” alisema.

Taarifa zaidi zinasema kuwa, marehemu alikuwa mke wa tatu kati ya wanne wa mtuhumiwa. Mwili wake ulisafirishwa Jumatano iliyopita kwenda Serengeti, Mara kwa mazishi.


globalpublisher
Mwandishi maarufu wa tamthilia na kitabu cha ‘Ngoswe, Penzi Kitovu cha Uzembe’, Edwin Semzaba amefariki jana. 

Mbali na kuwa mwandishi maarufu, Semzaba alikuwa mhadhiri katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam. Pia, alikuwa mwenyekiti wa Umoja Wa Waandishi wa Vitabu Tanzania (UWAVITA). 
Semzaba ambaye kitabu chake cha Ngoswe, Penzi Kitovu cha Uzembe kilimpatia umaarufu mkubwa ndani na nje ya mipaka ya Tanzania, aliwahi kueleza kuwa alianza kuandika kitabu hicho akiwa anasoma kidato cha pili akiwa na umri wa miaka 16 tu. 

Aliimalizia kazi yake hiyo nzuri baadae ambapo ilikubalika na kuanza kurushwa kupitia Radio Tanzania Dar es Salaam (RTD) na baadae kuiweka katika kitabu kilichokubalika na kutumika kama kitabu cha kiada kwa shule za sekondari. 

Udakusimple.blogspot.com tunatoa pole kwa ndugu, jamaa, marafiki na taifa kwa ujumla. Apumzike kwa amani, Amina! 

It will appear a whole new year has brought in regards to a wave of the latest radicals, although sexual activity was previously anything individuals stored restricted to their homes.

A quarter of Brits have confessed to getting sexual activity at the gym.

That’s a whopping twenty five percent in the health club-going population who may have carried out the filthy inside the sweaty health club transforming spaces.

Ann Summers performed the saucy research, speaking to two,000 men and women regarding their operate-out practices.

Much more jaw-dropping numbers from your study revealed 10 percent of health club-goers bring condoms inside their fitness center bag in case they get privileged.

And it’s not just the gentlemen who’re pining for adore-creating. Forty six % of those making love in the club are girl.

The study comes as internet dating internet site OkCupid released they have introduced a whole new attribute letting those who are already hitched or maybe in a relationship to locate other passionate partners.

Using this week, the web page will allow customers who happen to be set up as committed, viewing someone, or in a relationship to hyperlink their user profiles to another one user – allowing couples to locate new days together.
And based on scientists, this is all as a result of media that people will be more available about polygamy in 2016 than ever before.

Depending on investigation conducted by OkCupid, 24 per cent in their users say they are interested in team gender.
A whopping forty two percent of folks that have profiles together with the online dating web site would consider dating a person inside an open up or poly amorous relationship.

Maybe it forces you to think twice about entering the fitness center showers with out flip-flops on again.
Mnaigeria maarufu mwimbaji nyimbo za injili Maheeda hana aibu tena kutupia vitu vyake nyeti. Ametushirikisha picha ya uch! Na video iliyo kwenye mitandao ya kijamii. Hata kama aliwahi kuandika “Kama huniwezi kunipata mimi basi angalia video yangu”

 


Maheeda ni Mnaijeria mwanakwaya ambaye alikuwa mmojawapo wa wainjilishaji wa nyimbo za injili kila ukisikiliza. Lakini ametopea kwenye vitendo vya kupakia picha za X kwenye mitandao ya kijamii.
Curvy Nollywood actress Evia Simon is absolutely endowed using a shape that could drive guys crazy, using a big Booty. But she actually is not discovering it humorous as they are truly attracting the wrong males to her.


Actress Evia Simon, a forthcoming Nollywood actress, is not locating lifestyle easy with all the way guys maintain troubling her daily, planning to sleep at night together with her.

Evia who is fortunate having a big bum now views the blessing being an embarrassment for she and her is sobbing to the randy gentlemen to permit her be.

She lamented within a current talk to she goes by by means of heck everyday and she is no longer finding it amusing.

My butt offers me unnecessary consideration and in many cases to me, it can be so uncomfortable occasionally.

Occasionally I do not just feel happy about it. Needless to say, there are other girls that are curvy, sexy, and beautiful, but you know, this really is they and me are them.

I am aware that I’m passing via hell daily, although i do not really know what they may be completing by means of. Even women get hilarious regarding it at times.

I’ve got numerous harassment on the streets. Folks humiliate us a great deal because of my huge bum.

Any person I fulfill wants to sleep at night with me due to my ass. You should I am just begging them; I am not all the about Ikebe.

Folks, you folks need to free of charge her you should.

But furthermore, look into these substantial backside and you will definitely understand what she passes through.

 
Ili kuumba sehemu yake ya nyuma wa mwili kuwa kama mwana-TV maven Kim Kardashian, Chinea Shelled mtumishi wa afya wa Miami hutumia Dola 10k ili awe na tako la kibrazili.


“Watu wananishangaa wanataka kufahamu kiasi juu yangu. Kwa ujumla  kila siku ya maisha ni kubwa na ninaridhika.” Alisema. “Pia nimepata kupendwa na watu wa kila jinsia”

Huyu mwanamke hodari aling’amuliwa akifanya kazi leo. Badala ya kusubiri mwanaume kumpatia matumizi, aliamua kufanya kazi za kiume.

Wakati wengine wakitumia walichonacho kupata wanachotaka, mwanamke huyu hutumia upeo alionao kupata chochote anachotaka. Hata kama ni kidogo kiasi gani, itakuwa njema ilimradi MUDA ukifika. Mpe heko! 








IMG_4198Mwigizaji Kajala Masanja ‘Kay’.
Mwandishi Wetu, RISASI JUMAMOSI
DAR ES SALAAM: Good news? Huenda mambo yanaweza yakawa yamejipa kwa mwigizaji Kajala Masanja ‘Kay’ kwani kuna taarifa zinadai kuwa mwigizaji huyo amenasa mimba ya kigogo serikalini.

Chanzo makini kilicho karibu na staa huyo ambaye ana mtoto mmoja aliyezaa na prodyuza mkongwe Bongo, Paul Matthysse ‘P Funk’ (Paula), kimepenyeza ubuyu huo kuwa Kajala ana mimba ya zaidi ya miezi mitano na amegusiwa kuwa ni ya kigogo serikalini ambaye hataki kumtaja jina.
“Hivi hamna habari? Kajala mbona mjamzito. Tena yeye alianza kunasa kabla hata ya Wema, nashangaa mnakomalia kuripoti mimba ya Wema tu, Kay mmemuacha na kigogo wake,” kilimwaga ubuyu chanzo hicho.
Baada ya kupewa ubuyu huo, juzi Alhamisi, mwanahabari wetu wakati anaanza kuichimba habari hiyo, alitembelea kwenye ukurasa wa Instangram wa Kajala na kukutana na ujumbe ulionesha dhahiri kuwa mwigizaji huyo anajiandaa kuitwa mama kwa mara nyingine.

“Hey IG…do me a favor…help me to choose a name of my new baby coz Pau wants a name with P in the beginning and mimi sitaki..” aliandika Kajala akiwataka wafuasi wake katika mtandao huo wamsaidie kuchagua jina la mtoto wake ajaye kwani Pau (Paula) anataka jina linaloanza na herufi P lakini yeye hataki.

Alipopigiwa simu na mwanahabari wetu kuhusiana na ujumbe huo sanjari na taarifa za kuwa ni mjamzito wakati gazeti hili linakwenda mitamboni, Kajala alikata simu. (Huenda alikuwa sehemu ambayo hakuweza kuzungumza, bila shaka ataona habari hii na kutoa ufafanuzi zaidi kwani ni jambo la heri.)

globalpublishers.co.tz
Next PostNewer Posts Previous PostOlder Posts Home