Je? ni halisi


TOA MAONI KAMA NI KWELI HAPO CHINI
Nuh Mziwanda.

Hamida hassan

Kama huna taarifa basi kaa ukijua kuwa, lile penzi lililokuwa na sarakasi nyingi, mara wafumaniane, mara wapigane, mara waachane sasa limefikia mwisho kama siyo kikomo. Nawazungumzia mastaa wawili, Nuh Mziwanda na Shilole ambao wametangaza rasmi kwamba kila mmoja kuwa na hamsini zake.

Shilole amesema kuwa, haoni sababu ya kuendelea na Nuh kwa kuwa anahisi anambana tu na wala haoni faida kubwa ya kuwa naye.

Nuh Mziwanda akiwa na aliyekuwa mpenzi wake Shilole.

Kufuatia maneno hayo, Nuh ameona isiwe kesi, amekubali yaishe lakini taarifa iliyotua kwenye ukurasa huu ni kwamba, jamaa anahaha kufuta tatuu aliyojichora mwilini mwake yenye jina la Shilole.

“Kimsingi ile tatuu ya Shilole inamtesa sana Nuh,” alisema rafiki wa msanii huyo.
Nuh anasemaje? Msikie: “Ni kweli ila hii tatuu nitaifuta nitakapompata wa kuziba pengo la Shilole.”. globalpublisher
Mwanamuziki aliyejipatia umaarufu mkubwa, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’.

Musa mateja, ijumaa
Dar es Salaam: Hii ni zaidi ya kufuru! Mwanamuziki aliyejipatia umaarufu mkubwa, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ au ukipenda muite Simba ameweka historia kwenye ulimwengu wa muziki wa Bongo Fleva kwa kumuajiri binti msomi aitwaye Zaituni Musa Bakari ili amkatie mauno kwenye shoo zake.


Binti msomi aitwaye Zaituni Musa Bakari akimkatikia mauno Diamond Platinumz.

Ni dansa tegemezi
Zaituni, binti aliyejaaliwa kuwa na figa bomba, alianza kufanya kazi na Kampuni ya Wasafi Classic Baby (WCB) muda mrefu lakini hivi karibuni wakati akiendelea kunengua, alijiunga na Chuo cha Biashara cha CBE jijini Dar akichukua Stashada ya Manunuzi na Ugavi (Diploma in Procurement and Supply).

Inadaiwa wakati akisoma chuoni hapo ni wachache waliokuwa wakijua kuwa anasoma hivyo kumfanya afanye mambo hayo mawili kwa wakati mmoja kwa makini.

Hata hivyo, mwaka 2015 baada ya kuhitimu masomo yake ndipo siri ikavuja kuwa, mdada huyo ni msomi na ndipo alipoanza kuwa gumzo kila kona ya Jiji la Dar es Salaam.

Analipwa mshahara mkubwa
Chanzo kilicho ndani ya WCB kilidai kuwa, mshahara anaovuta mdada huyo ni mkubwa kutofautisha na wengine ndiyo maana licha ya kuhitimu, bado anaendelea kunengua.

“Unajua yule binti anajua sana kukata mauno na ni mtu muhimu sana kwenye kundi la madansa. Ukifuatilia kwenye shoo nyingi ndiye ambaye mara nyingi hucheza na Diamond huku akimkatikia, mshahara wake ni mkubwa sana,” kilidai chanzo hicho.

Baada ya kupata taarifa hizo, mwandishi wetu alifanya jitihada za kumtafuta mdada huyo na alipopatikana mahojiano yalikuwa kama ifuatavyo:

Ijumaa: Ni lini ulianza kufanya kazi hii?
Zaituni: Nilianza kudansi nilipomaliza kidato cha nne na baadaye nikaja kula shavu kwenye kundi hili la madansa wa Diamond.



Zaituni Musa Bakariakiwa katika pozi.

Ijumaa: Ilikuwaje ukajiingiza kwenye kazi hii ambayo baadhi huidharau?
Zaituni: Ni kitu ambacho kilikuwa kwenye damu yangu, napenda kudansi na najua kudansi hivyo nilipopata nafasi ya kuja kufanya kazi na WCB, sikusita na wala sikusikiliza maneno ya watu.

Ijumaa: Shepu yako inaonekana umejaaliwa, unawezaje kumudu kufanya mavituz jukwaani?

Zaituni: Kikubwa ni mazoezi, nafanya mazoezi sana ndiyo maana naumudu mwili wangu.
Ijumaa: Wewe ni msomi, umesomea mambo ya Manunuzi na Ugavi, kwa nini usiende kufanya kazi hiyo?

Zaituni: Hayo mambo yatakuja baadaye lakini kwa sasa nafanya kazi hii na nina mpango wa kwenda kuchukua shahada katika fani hiyo.
Ijumaa: Inasemekana wewe ndiye unayelipwa mshahara mkubwa sana kwenye wale madansa pale WCB, kuna ukweli wowote?

Zaituni: Kwa kweli sijui maana si unajua mshahara ni siri ya mtu, huenda ikawa hivyo lakini sina jibu la moja kwa moja.
Ijumaa: Kwani unalipwa kiasi gani?
Zaituni: Hiyo sasa ni siri yangu kaka.

Baada ya kuzungumza na dansa huyo, Ijumaa lilimtafuta Diamond kumzungumzia dansa wake huyo msomi ambapo alisema anajisikia poa kufanya naye kazi na anaamini ana mapenzi na kazi hiyo ndiyo maana amekubali kuwa WCB.
Kuhusu madai kuwa analipwa msharaha mkubwa, Diamond alisema hiyo ni siri kati ya muajiri na muajiriwa. globalpublisher
Mashoga hao wakiwa mikononi mwa polisi, 
picha ndogo(kushoto) ni mteja wao aliyedaiwa kuuawa. 
JAJI wa mahakama moja huko Manhatan, jijini New York, Marekani, amewahukumu mashoga wawili wa kiume kifungo cha maisha kwa kumuua mteja wao wa siku nyingi katika makazi yake eneo la Chelsea.

Mashoga hao (pichani) Edwin Faulkner (kushoto) mwenye umri wa miaka 33 na Juan Carlos Martinez-Herrera ( 35) watayamalizia maisha yao gerezani.

Hukumu hiyo ilitolewa na Jaji Bonnie Wittner katika mahakama hiyo jana. Watu hao walimkaba kwa kumziba pumzi na kumwibia mteja wao huyo, John Laubach (57) Machi 2, 2012.

“Alikuwa mteja wangu, tulikuwa tunakwenda kwake kila mara ambako alikuwa ananilipa kwa kufanya naye ngono,” alikiri Martinez-Herrera katika mahakama hiyo.

Wawili hao walimwibia Laubach vito mbalimbali na vitu vingine vya thamani kabla ya kutorokea Jimbo la Miami.

Martinez-Herrera, ambaye alikuwa amevaa nguo za kiume wakati alipokamatwa, alitokea mahakamani akiwa na nywele ndefu na akizungumza kwa sauti ya kike.

A group of about 16 women bared their b.uttocks as they stormed into the offices of the ANC (African National Congress) in Tshwane, SA on Monday. 

They were protesting against party and it got this far, what will it be when they protest against government? 

A security guard who witnessed the saga said, “Some had unzipped their jeans, lifted their tops and undone their bras before turning away to expose their naked backsides in full view of cameraman.”


According to report,These wom-en move from one bar to another showing off their goodies and whoever shows the best ‘one’ gets the most drikes..








Nyota wa filamu Nigeria, Mercy Johnson. 

NYOTA mcheza sinema wa Nigeria, Mercy Johnson amerejea katika shepu yake bomba baada ya kujifungua mtoto wa tatu. Amerejea umbo lake hilo murua bila ya kutumia mkanda wa kubanana kupunguza ukubwa wa tumbo kama wanavyofanya wanawake wengine siku hizi. 

Mwigizaji huyo alionekanamitaani akiwa katika umbo la kuvutia baada ya kurejea kuwapeleke wanaye shuleni na kuingia katika duka moja kununua ‘ice cream’ akiwa na rafiki yake. 

Kutokana na shepu yake ya kuvutia si rahisi kuamini kwamba mrembo huyo ana watoto watatu na anategemea hata kupata wa nne karibuni. globalpublisher



JE t@k() hili ni halisi????????????


This Arsenal fan has taken fanatical support to new heights by getting married in a full Arsenal kit and luckily for him, his wife approved. “My wife is from Woking and she is awesome,” he wrote on Facebook. “She let me get married in my full Arsenal kit! Maybe I just got lucky.” 

BOFYA HAPA KUONA SHABIKI MWINGINE ALIYEFANYA HIVYO






Bomu jipya kutoka kwa mama T, amuonya mrembo wema sepetu aache kuulizia DNA ya mtoto wake badala yake akapime ultra sound ya mtoto ambao anadai amembeba tumboni mwake, mrs T aliendelea kutiririka na kumtaka wema sepetu akashindane na level zake sio yeye





Kwa utafiti wangu mdogo unaonesha kuwa katika makabila yote ya hapa Bongo tzee, mabinti wa kabila la Kichaga ndio hasa wanaongoza kwa kulilia ndoa. 

Yani ukikaa naye kwenye mahusiano ndani ya kipindi kisichozidi mwaka, lazima atakuwa ameshaanza kulilia ndoa.

Sasa ninaomba kufahamu kuwa huwa ni suala la kisaikolojia au ndivyo mila zao zinavyowafundisha kufanya hivyo?

Mabinti wengi wa kabila jingine huwa ni wavumilivu, hata kama watalilia, watalilia kindani ndani na wala huwezi jua mpaka kidume uamue kutangaza njaa ya kuweka ndani...

Next PostNewer Posts Previous PostOlder Posts Home