Gift Stanford Giggy Money’.
STORI: GABRIEL NG’OSHAPAMECHIMBIKA! Habari ikufi kie kwamba bifu jipya mjini kwa sasa ni kati ya wauza nyago (video queens) wawili kwenye video za wasanii wa Bongo Fleva, Gift Stanford Giggy Money’ na Asha Salumu ‘Kidoa’ kila mmoja akijiona yupo juu kuliko mwenzake.
Asha Salumu ‘Kidoa’.
Alipotafutwa Kidoa hakupatikana kujibu mapigo ya Giggy ambaye amekuwa akimchana Kidoa mara kadhaa.
0 comments:
Post a Comment