Haya ni mapenzi????? Mwanaume aliamua kumkata mke wake kiganja baada ya
kumtishia kuomba taraka. Chen Anjun aliogopa
kuona mke wake ameanza kuwa na tabia mbaya.
Wakati mke wake Bin Yuqiu akikimbia kuelekea Suzhou, mashariki mwa China, mume alifanikiwa kumnasa mke na kabla hajamuelekeza kuelekea Shanghai, ndipo alipofanyia ukatili huo, iliripotiwa na People’s Daily Online.

Sasa yupo korokoroni wakati mke wake amepoteza kiganja
cha kushoto.
0 comments:
Post a Comment