Maisha! Abdul Halim al-Attar, 33, ambaye alipiga picha
akiuza mb()() mtaani Beirut, Lebanon, wakati amembeba binti yake aliyelala
begani, sasa anaendesha biashara 3 tofauti kwenye jiji, baada ya kampeni
yake ya kuchangisha fedha kwa watu wengi kumuingizia Dola191,000.
0 comments:
Post a Comment