Ili kuumba sehemu yake ya nyuma wa mwili kuwa kama mwana-TV maven Kim
Kardashian, Chinea Shelled mtumishi wa afya wa Miami hutumia Dola 10k ili awe
na tako la kibrazili.
“Watu wananishangaa wanataka kufahamu kiasi juu yangu. Kwa ujumla kila siku ya maisha ni kubwa na ninaridhika.”
Alisema. “Pia nimepata kupendwa na watu wa kila jinsia”
0 comments:
Post a Comment