Huyu mwanamke hodari aling’amuliwa akifanya kazi leo. Badala
ya kusubiri mwanaume kumpatia matumizi, aliamua kufanya kazi za kiume.
Wakati wengine wakitumia walichonacho kupata wanachotaka,
mwanamke huyu hutumia upeo alionao kupata chochote anachotaka. Hata kama ni
kidogo kiasi gani, itakuwa njema ilimradi MUDA ukifika. Mpe heko!
0 comments:
Post a Comment