Bado huwa ninajiuliza sana kuwa hawa wasanii wanafaidika kwa kipi kukaa uchi mbele ya kamera na mwisho wa siku kutupostia ujinga wao mtandaoni!
Pengine sisi mashabiki ndo tunawafanya washawishike kuyafanya haya!
Lakini ni kweli kwamba huwa tunapenda sana kuona uchi wa wasanii kama lulu ama ni wenyewe tu ndio wanataka tuuone??????????
0 comments:
Post a Comment