Shocking Video: Basi laanguka, chanzo ni mvua nyingi zinazonyesha kusabababisha kuharibu barabara.

Basi laanguka kutokana na uharibifu wa barabara ambao umesababishwa na mvua nyingi.

Wasafiri walifanikiwa kutoka ndani ya basi hilo kabla halijatumbukia katika shimo lililokatikati ya barabara huko Brazil. Ajali hiyo imetokea juzi katika mji wa Para Brazili.

Bofya chini kuiona video



Next PostNewer Post Previous PostOlder Post Home

0 comments:

Post a Comment