Watoto wanafunzi kupewa elimu ya Ng()n()



Wanafunzi watoto wakiwa wadogo wa miaka 11 katika shule za uingereza wanaanza kupewa mafunzo ambayo watajaribiwa katika mitihani yao. Masomohayo yataanza kutolewa muda si mrefu kuanzia sasa kwa mujibu wa Sunday Times. Sababu ya kuwapa mafunzo ni kuwa vijana wadogo huanza mapema mapema mapenzi na ngono kutokana na kukua haraka.

Next PostNewer Post Previous PostOlder Post Home

0 comments:

Post a Comment