Bona Matheba, maarufu vyombo vya habari. Aonyesha umbo lake ndani ya vazi chepechepe la kuogelea

Mrembo anaevutia kupitia vyombo vya habari Bonang Matheba wa Afrika Kusini, ametupia picha instagram ya nusu uchi ikimuonyesha umbo lake lililoumbika ndani ya vazi la kuogelea chepechepe, wakati yeye haonyeshi kushtuka kwa kupost hizo picha.





Bonang amekuwa akichaguliwa na magazeti kutoka na umaarufu alionao kwa mwezi Oktoba kwa vazi la kuogelea.

Mhariri Danielle Weakley amesema "Bonang used to be picked for your magazine’s swimwear version considering she embodies the latest advancement – that becoming match up is really a alternative technique"
Next PostNewer Post Previous PostOlder Post Home

0 comments:

Post a Comment