DUNIA IMEKWISHA!!! Mashoga walana uroda kweupe mtaani; watu wapigwa butwaa.

Kwa mujibu wa Daily Star UK- mashoga wawili waliofahamika baadae kwa majina ya ukoo Zhou na Liang, walikutwa wamelalana na suruali zao wameshusha chini.

Wananchi wa Chongqing magharibi mwa China, waliokuwa wapita njia walishangazwa na kushikwa aibu na hawakuamini  kwa kitendo kilichokuwa kikiendelea.

Kutokana na kitendo hicho kwenye njia maarufu, majirani walisaidia kuwakamata. Kwa mujibu wa Chongqing Public Security Bureau wanachukuliwa hatua kwa matendo yao.

 Watu walitoa maoni “was a direct result them not being able to control their steps”. Mapenzi ya jinsia moja yalizuiwa mwaka 1997 na utawala wa China. Hata hivyo inachukuliwa kama mwiko kwa china kufanya mapenzi ya jinsia moja.
Next PostNewer Post Previous PostOlder Post Home

0 comments:

Post a Comment