Huenda ujauzito ukafuta ndoto za Faiza Ally na Sugu kurudiana. Soma maneno mazito Faiza aliyoyasema


Mzazi mwenzake na mbunge wa Mbeya mjini, Sugu – Faiza Ally, amedai kuwa huenda akawa ni mjamzito.

Akizungumza kwenye kipindi cha Friday Night Live cha EATV, Faiza alisema kutokana na hilo hadhani kama ataweza kurudiana na Sugu tena.

“Sasa hivi nipo na mpenzi wangu na pengine naweza kuwa na mimba, not sure kwa sababu sijapima,” alisema. “Kwahiyo kurudiana hiyo ni kwenye ndoto tu siyo kitu hata ambacho unaweza kukizungumzia. Sio mpenzi mpya nimekutana naye baada ya mwaka mmoja kuachana na Sugu, sasa hivi tuna kama mwaka,” aliongeza.

Next PostNewer Post Previous PostOlder Post Home

0 comments:

Post a Comment