Uchawi: Wanawake wanne wapigwa, kuvuliwa nguo na kuchomwa moto na wananchi wenye hasira kali, ona VIDEO


Video iliyorekodiwa na mwanafunzi kisiri, Ilivuja ikionyesha akina mama wakipigwa bila huruma, kuvuliwa na kuchomwa moto huku mama mmoja akisema wanangu niacheni. 


Video ilizagaa kutoka kwenye simu ya mwanafunzi wa senior high school na kuzagaa kwenye mitandao ya kijamii. 

Katika video hiyo akina mama walikuwa wakilalamika‘My kid, end it! Na mwanaume akijibu ‘Talk out, where by have you input it? Shed her together with the wire.” Mwanamke mwingine kuitikia : ‘I’ve got nothing to do with it”. “I am just a mother with several children,” claims yet another. 

Serikali ya Papua New Guinea imeanzisha mjadala wa kuwaadhibu wanawake wanaojishughulisha na kuwanga usiku. Hata hivyo serikali imeleta mabadiliko katika sheria na kanuni kutokana na kukoselewa vikali Juni na Umoja wa Kimataifa (UN). 

Kuiona video bofya chini











Next PostNewer Post Previous PostOlder Post Home

0 comments:

Post a Comment