SHOCKING!!!!! Mchungaji huny()ny@ m@t!t! kanisani wakati wa Uponyaji


Katika hii audio iliyorekodiwa na redio ya HERO kenya, Mchungaji kutoka Naijeria akubali kuwanyonya wanawake matiti wakati wa uponyaji katika kanisa lake.

Mch. Chidioke

Mchungaji wa kinaijeria katika rekodi hii anatangaza kuwa kanisa lake linaitwa Breast and Honey Harvest Church International yaani kanisa la kimataifa la matiti na uvunaji asali.

Katika mahojiano na 99.0 FM Hero Radio, kituo kilichopo Kenya, Mchungaji Chidioke alikubali yote. Chini hapa kuna mahojiano kati ya aliyejiita Nancy (jina lake halisi Kate Vobic) na Mchungaji wa Breast and Honey Harvest Church International 

Mchungaji alimwambia aje kanisani kwake ili anyonywe roho ya kukataliwa katika matiti ili kuondoa pepo la kukataliwa. Kwa mujibu wa mahojiano Mchungaji Chidioke alikubali kuwa waumini wake hawavai Brauzia

BOFYA HAPA CHINI KUSIKILIZA MAHOJIANO YA MCHUNGAJI 


Next PostNewer Post Previous PostOlder Post Home

0 comments:

Post a Comment