Mtoto wa Cristiano Ronaldo, Cristian Juniro Miaka 5 atisha, mbavu ubavu "PICHAZ KIBAO"

Mkali Championi ligi, ligi ya uingereza na Hispania mwenye magoli zaid ya 300: Real Madrid, hakuna mwingine zaidi ya  Cristiano Ronaldo. Hapa upo na Cristiano Junior ambaye ana miaka 5, cheki mbavu.
 

Mreno wa kimataifa alipost picha Instagram ya pamoja, wakiwa vifua wazi wakiangalia kamera wakijifundisha pamoja. Kijana ni mtanashati.

Next PostNewer Post Previous PostOlder Post Home

0 comments:

Post a Comment