MUHIMU KUSOMA **SEKUNDE 30 TU, HALAFU ENDELEA NA MAMBO YAKO**


WAPENZI NA FANS WA udakusimple.blogspot.com NAWAPONGEZA KWA KUMALIZA MWAKA 2015, NA KUMSHUKURU MWENYEZI MUNGU KUINGIA MWAKA 2016, NAWATAKIENI HERI YA MWAKA HUU MPYA 2016.



Timu ya uhariri ya udakusimple.blogspot.com inapenda kuwajulisha kuwa bado inawapenda fans wake na itaendelea kuwaletea habari za udakuzi za ukweli zinazotokea duniani kote. Habari tunazotoa si za kuunga wala za uongo ili tupige maisha kupitia sapoti yenu ya kuperuzi taarifa zetu na kubofya kila post na mabango ya wadau wetu, bali ni kuwapasha habari za kina ili ufahamu dunia ikoje ujiepushe, ujifunze, ujionye, ujiburudishe, n.k. Tutawapatia habari za uhakika zinazojiri duniani, kazi ni kwako kusoma/kuperuzi na kubofyabofya.

Baadhi yetu hupenda kuangalia kiuchoyo, hutaki mwenzi wako, jirani yako ajue. Tafadhali usifanye hivyo, mjulishe mwenzi wako, swahiba wako, jirani yako na mtu wako.

Kama una maoni kwatu timu ya editor tuma kwa   udakusimple@gmail.com 


PAMOJA SANA
Next PostNewer Post Previous PostOlder Post Home

0 comments:

Post a Comment