INAUMAAA: Mwanamke mjamzito ajinyonga baada ya mpenzi wake kumtolea nje...


Valeria Ndomo, (30) kutoka kameruni amejinyonga baada ya kupishana na mpenzi wake. 

Majirani walonga
Majirani wanasema alikuwa akijibizana na mtu wanaemshuku kuwa ni mpenzi wake kupitia simu,.Hapo ndiop ulikuwa misho wa kumwona akiwa mzima mpaka alipoonekana amejitundika akiwa amejinyonga nyuma ya nyumba.


Next PostNewer Post Previous PostOlder Post Home

0 comments:

Post a Comment