Wanafunzi (WAMASAI) nomaaaa!!!! Wamfanyia kitu mbaya msanii akiwa stejini...wamshika ta*ko na kunako hadharani

Wakati msanii wa kike mrembo kizazi kipya akifanya juhudi kuubwa na siriazi kuwaburudisha washabiki wake ambao wengi wao walikuwa wanafunzi kutoka chuo kikuu cha Maasai Mara. 

Wanafunzi hao walishindwa uvumilivu baada ya kumwona mrembo huyo Avril akipafomu ile mbaya na kuanza kumshika cheki PICHAZ!!!!!!!!!! 





Next PostNewer Post Previous PostOlder Post Home

0 comments:

Post a Comment