MAAJABU! Wapenzi vibonge wafanya upasuaji kuondoa unene ili kupata mtoto.


Wapenzi wenye ndoto za kuwa wazazi wameuamua kufanya sajari ya kupunguza uzito kwa sababu ni wanene sana kujamiiana. Wapenzi wa mapenzi ya kindege waliooana tangu mwaka 2010 wanauzito kwa ujumla 63s.

Lin Yuen na mke wake Deng Yang walithibitisha kuwa maisha yao ya ndoa yamekuwa magumu tangu walipoanza, wamesema hawakuweza kufanikiwa kupata nguo ya harusi kwa bibi harusi zaidi ya kutengenezewa.

Wawili hao wanaofanya kazi kusini-magharibu mwa uchina Jimbo la Sichuan wiki hii walisafiri kwenda Changchun kaskazini mashariki jimbo la Jilin ili kupata dawa ya kupunguza unene haraka
Wanataraji sajari ya tumbo ambayo itawawezesha kupambana na vitambi hatari, ambayo wameamua kushughulikia tatizo hilo ili siku moja wawe na mtoto.
Deng alisema ndoto ya kuwa wazazi pekee iliwafanya kupunguza uzito, lakini kwa pamoja walihamasishana kuchukua hatua pamoja wakati mwanamke ndiye mtu mnene kuliko wote China.

Next PostNewer Post Previous PostOlder Post Home

0 comments:

Post a Comment