Unamkumbuka mtumwa wa Syria ambaye picha zake zilisambaaa akiuza uume mtaani??? Angalia kinachomkuta sasa…

Maisha! Abdul Halim al-Attar, 33, ambaye alipiga picha akiuza mb()() mtaani Beirut, Lebanon, wakati amembeba binti yake aliyelala begani, sasa anaendesha biashara 3 tofauti kwenye jiji, baada ya kampeni yake ya kuchangisha fedha kwa watu wengi kumuingizia Dola191,000.

Next PostNewer Post Previous PostOlder Post Home

0 comments:

Post a Comment