OMG!! Mume amkata kiganja mke kisa mke kudai taraka “PICHA INATISHA +18”

Haya ni mapenzi????? Mwanaume aliamua kumkata mke wake kiganja baada ya kumtishia kuomba taraka. Chen Anjun aliogopa  kuona mke wake ameanza kuwa na tabia mbaya. 

Wakati mke wake Bin Yuqiu akikimbia kuelekea Suzhou, mashariki mwa China, mume alifanikiwa kumnasa  mke na kabla hajamuelekeza kuelekea Shanghai, ndipo alipofanyia ukatili huo, iliripotiwa na People’s Daily Online. 
Sasa yupo korokoroni wakati mke wake amepoteza kiganja cha kushoto.





Next PostNewer Post Previous PostOlder Post Home

0 comments:

Post a Comment