Mwanamke hutumia Dola 10K kupata t@k() kama la Kim Kardashian

Ili kuumba sehemu yake ya nyuma wa mwili kuwa kama mwana-TV maven Kim Kardashian, Chinea Shelled mtumishi wa afya wa Miami hutumia Dola 10k ili awe na tako la kibrazili.


“Watu wananishangaa wanataka kufahamu kiasi juu yangu. Kwa ujumla  kila siku ya maisha ni kubwa na ninaridhika.” Alisema. “Pia nimepata kupendwa na watu wa kila jinsia”
Next PostNewer Post Previous PostOlder Post Home

0 comments:

Post a Comment