Mwanamke Jembe: Ona anachofanya alipong’amuliwa na kamera yetu Dodoma


Huyu mwanamke hodari aling’amuliwa akifanya kazi leo. Badala ya kusubiri mwanaume kumpatia matumizi, aliamua kufanya kazi za kiume.

Wakati wengine wakitumia walichonacho kupata wanachotaka, mwanamke huyu hutumia upeo alionao kupata chochote anachotaka. Hata kama ni kidogo kiasi gani, itakuwa njema ilimradi MUDA ukifika. Mpe heko! 



Next PostNewer Post Previous PostOlder Post Home

0 comments:

Post a Comment