ONA afisa wa polisi alichokifanya kumwokoa dada aliyetuhumiwa kuiba simu.


Kwa mujibu wa ripoti, huyu dada alikamatwa kwa kuiba simu Enugu ambapo kundi kubwa lilimvamia dada na kumvua nguo na kumdharirisha.

Bahati nzuri aliyonayo, aliokolewa na afisa wa polisi ambaye naye aliishia kumdharirisha akiwa anamuokoa kutoka kwa wananchi wenye hasira kali.

Ona uso wa furaha wa afisa, je ni kweli polisi na rafiki yako???


Next PostNewer Post Previous PostOlder Post Home

0 comments:

Post a Comment