JAMANI JAMANI: HUU SI UDHADHALISHAJI????? JE ANAJIDHALILISHA AU ANADHALILSIHWA?

Picha hii iliwekwa mtandaoni na haikuwa na mashiko sana kwa watu kuifuatilia. Lakini baada ya wachache kuijadili imeshika kasi sana wiki hii kusambaa. Picha ni ya mwanamke aliyekalia kitako cha pikipiki akijiweka katika hali ndogo ya usalama kisa ni kutaka "kuua ndege wawili kwa jiwe moja". 

Na hakufikiria kuwa akiwa katika mwendo pikipiki inaweza kumsababisha akadondoka na kujijeruhi au kupoteza maisha kabisa. 


Next PostNewer Post Previous PostOlder Post Home

0 comments:

Post a Comment