Balaa:: Chaneli ya TV yaanza kurusha mafunzo ya kiingereza, ambapo walimu hufundisha uch! (+18 kuona)

Wakati wengi wakiona ni mbinu ya kioja, baadhi ya walimu wamekuja na mbinu mpya ya kufudisha kusaidia watu kujua lugha nyingi.

Mpango ni kwa walimu wanaojiamini kufundisha kiingereza wakati wakionekana uchi kama vile video za X. Promo ya kozi inaonyesha mfano wa mwanamke (mwalimu) akiwa uchi mbele ya darasa ameshikilia rula wakati wanafunzi wakiwa wamekaa kwenye madeski.
 

Chaneli ya uchi ya habari Desnudando Las Noticias (Stripping the News) iliyoko Venezuela, imeanzisha lugha ya uchi, na kwa mujibu wa Tovuti yao, DNL inategemea kupata mauzo ya aina yake kwa mafanikio. Wanaaarifu kuwa walimu kuwa uchi wa mnyama watasaidia kutoa kozi kuzidi washindani wao.


Next PostNewer Post Previous PostOlder Post Home

0 comments:

Post a Comment